Mashindano ya zawadi yamepata sura mpya kupitia Meridianbet Missions, mfumo unaowapa wachezaji nafasi ya kufanya kila dau kuwa sehemu ya safari ya kukusanya alama. Kwa mashabiki wa sloti na michezo ya bahati nasibu, sasa kuna zaidi ya kusubiri matokeo ya mchezo, kuna misheni za kukamilisha, alama za kukusanya na zawadi za kulenga. Ni safari inayoongeza changamoto na burudani kwa kila hatua.
Miongoni mwa michezo inayopatikana kwenye mfumo huu ni Gates of Olympia, Ladies Days, Super Heli na Win&Go, pamoja na sloti nyingine kutoka Expanse Studios. Wachezaji wanaweza kuchagua misheni kulingana na michezo wanayoipenda, kisha kuanza kujenga alama zao. Kila misheni iliyokamilishwa inakuwa hatua nyingine ya kusogea mbele kwenye mfumo huu wa zawadi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kinachofanya safari iwe na ladha ya ushindani ni mfumo wa ngazi tatu, Bronze, Silver na Gold. Unaanza safari yako Bronze, ukikusanya alama zaidi unapanda Silver, huku Gold ikiwa hatua ya juu zaidi. Kupitia akaunti yako ya Meridianbet, maendeleo yako yanaweza kufuatiliwa kwa urahisi, hivyo unajua hatua uliyofikia na safari inayokukabili.
Alama hizo zinaweza kubadilishwa kwa zawadi mbalimbali, zikiwemo mizunguko ya bonasi, tiketi za michezo bila malipo na bidhaa za kuvutia kama Hisense Smart TV, PlayStation 5, JBL Speaker na iPhone 16. Kwa hiyo, kila hatua ya kukamilisha misheni inakuwa na maana katika safari yako ya kutafuta zawadi.
Kuanza ni jambo rahisi. Fungua akaunti yako ya Meridianbet, chagua sloti unayoipenda na anza safari ya misheni. Meridianbet Missions inaleta mchanganyiko wa burudani, changamoto na zawadi katika mfumo mmoja. Cheza mara nyingi uwezavyo uweze kufurahia safari hii.