Gaborone United vs Yanga SC, Dickson Job, Mzize kukosekana
NYOTA wawili wa kikosi cha Yanga SC, nahodha msaidizi Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize watakosekana kwenye mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United ya Botswana. Sababu kubwa ya wachezaji hao kukosekana ni kutokuwa fiti licha ya kuwa kwenye msafara wa kikosi cha wachezaji 30 waliokwea pipa mapema Septemba…