Ni miaka 25 ya historia, na Meridianbet imeamua kuandika ukurasa mpya kwa staili ya kipekee. Kampuni hii kongwe ya ubashiri imechagua kusherehekea mafanikio yake kwa kudhamini pambano la UFC Fight Night Belgrade, tukio la kwanza kabisa kufanyika Serbia mnamo tarehe 01 mwezi wa 08. Hili ni tamasha la nguvu linalounganisha michezo, burudani na ubashiri kwa namna ya kipekee.
Kwa udhamini huu, Meridianbet imeweka alama kubwa kwenye ramani ya michezo duniani. Kumbukizi ya miaka 25 inageuka kuwa tukio la kihistoria, na Serbia inakuwa kitovu cha mapambano ya UFC kwa mara ya kwanza. Ni hatua inayothibitisha namna kampuni hii inavyoweza kugeuza ndoto kuwa uhalisia na kuleta msisimko kwa mashabiki wa michezo kote duniani.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Akizungumza na vyombo vya habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Meridian Holdings, William Scott, alisisitiza kuwa udhamini huu ni zawadi kwa wateja na mashabiki. Ushirikiano wa Meridianbet na UFC unaonyesha uaminifu mkubwa na thamani ambayo kampuni hii imekuwa ikitoa kwa miaka yote. Ni ujumbe wa wazi, Meridianbet haichezi mchezo mdogo, bali inaleta burudani ya kiwango cha dunia moja kwa moja kwa wateja wake.
Kwa vijana na mashabiki wa ubashiri, hii ni nafasi ya dhahabu. Meridianbet imehakikisha pambano hili litapatikana kwenye jukwaa lake kwa odds kubwa na chaguo kibao. Hii inamaanisha kila mbashiri ana nafasi ya kuchagua dau lake na kuandika historia yake binafsi ya ushindi. Ni zaidi ya pambano, ni fursa ya kujiinua kiuchumi na kuonyesha ubabe wa ubashiri.
Sasa ni wakati wa kujiandaa. Usikae mbali na simu yako kuelekea tarehe 01 mwezi wa 08. Fungua akaunti yako Meridianbet, weka dau lako na subiri ushindi uingie moja kwa moja kwenye simu yako. Hii ndiyo nafasi ya vijana kuonyesha kuwa wanajua mchezo, wanajua kubashiri, na wanajua kushinda. UFC Fight Night Belgrade kupitia Meridianbet, historia mpya inaanza sasa.