Muungano Cup 2026 imefika tamati huku rekodi zikiwa zimeandikwa kwa wachezaji na Klabu ya Simba SC kutwaa taji hilo.
Hapa tumekuletea orodha ya wachezaji waliotwaa tuzo ya Man of the Match katika kila hatua namna hii:
Hatua |
Mechi/Timu husika |
Mchezaji aliyechaguliwa |
Robo fainali |
Yanga SC vs Muembe Makumbi |
Shekhan Khamis (Yanga SC) |
Nusu fainali |
Yanga SC vs Azam FC |
Duke Abuya (Yanga SC) |
Robo fainali |
KVZ vs Azam FC |
Ngita Jean (Azam FC) |
Robo fainali |
Simba SC vs Mafunzo SC |
Semfuko Daud (Simba SC) |
Nusu fainali |
Mlandege FC vs Simba SC |
Neo Maema (Simba SC) |
Robo fainali |
Mlandege FC vs Singida Black Stars |
Mbappe (Mlandege FC) |