Wikendi ndio hiyo imeanza ambapo mechi za ligi mbalimbali Duniani zinatarajiwa kuendelea. Kule Uingereza, Hispania na Italia zipo mechi jkibao za pesa. Ingia na ujisajili siku ya leo.
Tukianza na LALIGA leo Girona atamenyana dhidi ya Mallorca ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa kwenye ligi ni 3 pekee.
Zimebaki takribani mechi 5 kumalizika kwa msimu wa ligi, kila timu sasa inapambana kufanya vyema kwenye mechi hizi zilizosalia. Girona anahitaji ushindi nyumbani leo, lakini mgeni naye anahitaji ushindi kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana.
Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia kule Italia, SERIE A kuna mtanange mmoja wa kukata na shoka kati ya Pissa dhidi ya US Lecce huku takwimu zikionesha kuwa wawili hawa walipokutana mara ya mwisho mwenyeji alipoteza mchezo huu, hivyo siku ya leo mechi hii ni muhimu sana kwake kupata matokeo.
Pissa yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku mgeni wake akiwa nafasi ya 17 huku nao pia ushindi wa leo ni muhimu sana kwao kwani utawafanya wasogee juu ya msimamo wa ligi na wajiondoe kwenye hatihati ya kushuka daraja msimu huu.
Ligi pendwa Duniani, EPL kule Uingereza kama kawaida kutakuwa na mtanange mmoja kati ya Leeds United dhidi ya Burnley ambao wameshuka daraja baada ya kupanda daraja msimu huu. Wenyeji wanahitaji ushindi siku ya leo kwani mpaka sasa mechi zimebaki chache na presha ya kushuka daraja inazidi kuwa kubwa kwa timu zilizochini kabisa kwenye nafasi ya msimamo wa ligi.
Mara ya mwisho kukutana kati yao Burnley waliondoka na ushindi, hivyo siku ya leo ni siku ya wenyeji kulipa kisasi huku wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo pale Meridianbet. Hii ni moja ya mechi kali sana pale Uingereza kwani wageni wanaweza waikubali kupoteza kirahasi mechi hii. Lakini je vijana wa Daniel Farke watakubali kudondosha pointi siku ya leo?. Jisajili hapa.
Kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii ia machaguo zaidi ya 1000, hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka maokoto kwenye mechi hii siku ya leo. Je ni nani kuondoka na ushindi Ijumaa ya leo?. Suka jamvi hapa.