Furahia Bonasi ya TZS 10,000 Baada ya Kupakua App ya Meridianbet

Je unajua kuwa ukipakua APP ya Meridianbet unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bonasi ya TZS 10000?. Hii ni nafasi yako wewe mteja mpya wa Meridianbet changamkia fursa hii mkononi mwako leo.

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet inaendelea kuwaletea wateja wake uzoefu bora zaidi wa kubashiri kwa njia rahisi na ya kisasa kupitia App rasmi ya Meridianbet.

Sasa huu ni wakati sahihi kwa wateja wapya kujiunga na familia ya Meridianbet kwa kupakua App na kujishindia bonasi ya TZS 10,000 mara baada ya kujisajili.

Kupitia App ya Meridianbet, wateja wanapata fursa ya kubashiri mechi mbalimbali za mpira wa miguu kutoka ligi kubwa duniani, pamoja na michezo mingine mingi ya kusisimua.

App hii imeundwa kwa mfumo rahisi kutumia, hivyo inamuwezesha mteja kuweka dau, kufuatilia mechi na kushinda pesa popote alipo na wakati wowote. Zaidi ya hayo, Meridianbet imeweka bonasi hii ya TZS 10,000 kama zawadi ya kuwakaribisha wateja wapya, ili kuwapa mwanzo mzuri wa safari yao ya kubashiri.

NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A26. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Baada ya kupakua App na kujisajili, mteja anaweza kutumia bonasi hiyo kuanza kubashiri na kujiongezea nafasi ya kujishindia pesa zaidi.

Meridianbet inasema hivi bonasi hii itawekwa kwenye Akaunti ya mteja ndani ya masaa 72 baada ya mteja kuweka dau lolote analotaka na ametimiza masharti yote ambayo yanatakiwa ili aweze kupata bonasi hii sasa. Jisajili sasa na ubashiri hapa.

Mbali na bonasi ya usajili, Meridianbet pia hutoa promosheni nyingine nyingi kama vile Early Payout, michezo ya kasino yenye ushindi mkubwa na ofa za kila siku zinazowawezesha wateja kuongeza nafasi zao za kushinda.

Hivyo mteja ambaye bado hujapakua APP kwenye simu yako sas ahuu ndio muda wa kufanya hivyo ili upate bonasi hiyo itakayokusaidia kufanya ubashiri.

Pia machaguo zaidi ya 1000 yanakusubiri kwenye mechi zote kuanzia kule Bundesliga, Laliga, Ligue 1 na kwingineko. Usipitwe na ofa hii ndani ya Meridianbet inaweza kubadili maisha yako.

NB: Kampuni ina haki ya kukagua rekodi za miamala za wateja na kumbumbuku kwasababu yoyote. Iwapo ukaguzi huo utaonesha ushiriki wa mteja katika mkakati ambao kampuni kwa hiiri yake, inachukualiwa kuwa sio wa haki;

Kampuni ina haki ya kunyima haki ya wateja hao kupata ofa na pili kufuta ushindi wowote unaohusiana.

Hivyo mteja anatakiwa kufata vigezo na masharti yote ambayo kampuni itakuwa imeweka ili aweze kupata bonasi hiyo.