Sweet Holiday Chase Yafika Meridianbet, Mzunguko Mmoja, Ushindi Mkubwa

 

Msimu huu wa sikukuu unazidi kunoga baada ya Meridianbet kuizindua rasmi Sweet Holiday Chase, promosheni mpya inayokuja kwa kasi kama mshambuliaji wa dakika za mwisho. Hapa mchezo ni mmoja tu, kuzungusha na kushinda, ukiwa na nafasi ya kuchukua sehemu ya mfuko mnono wa TSh 14,500,000,000/-. Hii ndiyo ofa ambayo mashabiki wa ushindani na burudani wamekuwa wakingoja.

Kila wiki zawadi 125,000 zinatolewa bila kupumzika. Kinachofanya mchezo huu kuwa burudani ya kipekee ni kwamba beti yoyote unayoweka inatosha kabisa kukuingiza uwanjani. Hakuna presha ya kiwango cha kuanzia na mzunguko wowote unaoufanya ni tiketi ya ushindi.

Utaratibu wa kushiriki ni mwepesi sana. Unahitaji kufanya mzunguko japo mmoja tu kwa pesa halisi kwenye mchezo wowote uliopo kwenye promosheni. Baada ya hapo, unakuwa tayari kwenye orodha ya wachezaji wanaowania zawadi. Kila mzunguko ni hatua moja mbele kuelekea ushindi.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Namna ya kushinda ndiyo burudani yenyewe. Zawadi hutolewa kwenye mzunguko wowote, ikimaanisha kila unachozungusha kinaweza kuamsha mvutano wa ushindi. Kumbuka, kila mizunguko iliyokidhi vigezo inaweza kutoa zawadi moja kwa wakati, hivyo kila mzunguko ni kama mpira wa penalti, unaweza kuamua mchezo.

Na bora zaidi ni kwamba Sweet Holiday Chase imejaaa ofa nono kama mizunguko ya bure, na bonge moja la nafasi ya kuchukua hadi mara 500 ya dau lako. Hapa ndipo unageuka shujaa wa msimu huu wa sikukuu. Huu ni wakati wa kuweka rekodi mpya ya ushindi, ingia Meridianbet, zungusha, shangilia na uifanye likizo hii kuwa tamu zaidi ya zote.