Simba SC njiani kurudi Bongo baada ya kipigo ugenini

WAWAKILISHI wa Tanzania katika anga la kimataifa Simba SC baada ya kupoteza mchezo wa pili hatua ya makundi wanatarajia kuwasili kwenye ardhi ya nyumbani Novemba 2,2025. Tayari kikosi hicho chini ya Meneja Mkuu, Dimitar Pantev kimeanza safari kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bamako Senou, Mali tayari kuanza safari ya kurejea Dar, kupitia Addis…

Read More