SportsHAWA HAPA SIMBA KWENYE ORODHA YA WANAOSEPA/ WENGINE WAMEAGA Saleh6 months ago01 mins KAZI imeanza baada ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho kuna mastaa ndani ya Simba wanasepa huku wengine wakianza kuaga wakiongozwa na nahodha John Bocco mshambuliaji bora wa muda wote. Post navigation Previous: KIUNGO HUYU YUPO HURU KUTUA BURE SIMBA AMA YANGANext: HIVI NDIVYO VITA ILIMALIZWA KWA AZAM FC NA SIMBA