KIKOSI CHA SIMBA V GETA GOLD, BANDA NDANI,MORRISON BENCHI

LEO Desemba Mosi, kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Geita Gold kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 1:00 usiku na kikosi cha Simba kitakachoanza kipo namna hii huku Banda Peter naye akianza kikosi cha kwanza:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Gadiel Michael

Joash Onyango

Kenned Juma

Jonas Mkude

Peter Banda

Bwalya

John Bocco

Kibu Dennis

Ibrahim Ajibu

Akiba

Kakolanya

E.Nyoni

Hussein

Wawa

Morrison

Dilunga

Kagere

Mhilu