Dkt. Patrice Motsepe Asema AFCON 2027 Kuchezwa Juni – Julai 2027
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, amethibitisha rasmi kwamba mashindano ya AFCON 2027 yataanza kuchezwa kati ya Juni na Julai 2027 katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki. Kauli hii imetolewa leo, Februari 13, 2026, baada ya mkutano wa Kamati ya Utendaji ya CAF uliofanyika katika Hyatt Kilimanjaro, ambapo viongozi wa…