Fursa Kubwa za Jackpots Kutoka BGaming Zinakungoja Meridianbet
Meridianbet, kiongozi wa burudani ya kasino mtandaoni, imetangaza kuzindua ushirikiano wake mpya na BGaming, mtoa huduma ya michezo yenye ubunifu wa hali ya juu, ili kuleta dunia mpya ya furaha, jackpots, na ushindi usio na kikomo kwa wachezaji wake nchini Tanzania. Kupitia ushirikiano huu, wachezaji sasa wanapata michezo ya kisasa kama Frozen Fruit, Face Off,…