Malaika Cute Aendeleza Maisha ya Starehe, Mitandao Yachangamka
Sosholaiti maarufu kutoka Tanzania, Malaika Cute, ameendelea kuwa gumzo mitandaoni baada ya kuonyesha maisha yake ya kifahari na yenye kujiamini kupitia ukurasa wake wa Instagram, huku akiambatanisha ujumbe mfupi unaosema “No pressure.” Kupitia picha na video anazochapisha mara kwa mara, Malaika ameonekana akifurahia maisha, akisafiri, kupiga pozi za kuvutia na kuvaa mavazi ya kisasa yanayoonyesha…