Kiwango mastaa Yanga SC chamkosha kocha

KIWANGO cha mastaa wa Yanga SC walichoonesha mchezo wa mwisho hatua ya makundi vs JS Kabylie kimemkosha Kocha Mkuu Pedro Goncalves kwa kubainisha kwamba wachezaji walijituma bila kuchoka. Katika mchezo huo wa makundi uliochezwa New Amaan Complex, Februari 15 2026 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga SC 3-0 JS Kabylie ukiwa ni ushindi mkubwa…

Read More

Jadon Sancho na Saweetie Waonekana Paris Wakiwa Wameshikana Mikono

Winga wa England, Jadon Sancho, alionekana jijini Paris akiwa ameshikana mikono na mpenzi wake, rapa wa Marekani Saweetie, katika tukio lililoonyesha wazi mahusiano yao hadharani. Sancho, anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Aston Villa akitokea Manchester United, alionekana akiwa amevalia beanie nyeusi, jaketi la ngozi, fulana nyeusi na jeans, huku Saweetie (32) akivutia kwa koti…

Read More

Makonda Amtaka Msajili Kukamilisha Mchakato wa Mabadiliko Simba

Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amemtaka Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Abel Ngilangwa, kuipa majibu Simba Sports Club kuhusu kinachoendelea katika mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo. Agizo la Kukamilisha Ndani ya Mwezi Akizungumza, Waziri Makonda amesema msajili anatakiwa kuhakikisha kuwa kabla ya mwezi huu kumalizika,…

Read More