Arsenal, PSG Na Barça Zinapigia Kasi Kumsajili Álvarez – Atlético Wakikata Rahisi!

Arsenal, Paris Saint-Germain na Barcelona zote zinaonyesha nia kubwa ya kumsajili Julián Álvarez kutoka Atlético Madrid. Kwa mujibu wa Gazeti la Michezo la Hispania, DiarioAS Arsenal tayari waliwasilisha ofa ya thamani ya euro milioni 120, lakini Atlético waliikataa wakionyesha kuwa hawapo tayari kumuachia kirahisi mshambuliaji huyo. Sasa inasubiriwa kuona kama kutakuwa na ofa mpya au…

Read More

Singida Black Stars yaituliza Mtibwa Sugar

MTIBWA Sugar 1-3 Singida Black Stars, (SBS) ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa mapema leo Februari 22,2026 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Wageni Singida Black Stars wamewatuliza wenyeji kwenye mchezo wa leo ambao ulichezwa saa 8:00 mchana katika msako wa pointi tatu muhimu. Magoli ya SBS yamefungwa na Ndumumwe Mossi dakika ya 5,…

Read More

Man United Kumuuza Bruno Fernandes kwa pauni milioni 87?

Kiungo na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes anaripotiwa kuwa kwenye rada ya vilabu vikubwa barani Ulaya pamoja na Mashariki ya Kati. klabu ya Paris Saint-Germain, FC Bayern Munich, pamoja na vilabu kadhaa vya Saudi Arabia vinaonesha nia kubwa ya kumsajili nyota huyo raia wa Ureno. Ripoti hiyo inaongeza kuwa Manchester United huenda ikafikiria kumuuza…

Read More