Frankfurt Dhidi Ya Fc Cologne Mzigo upo Kwenye Mechi hii

Timu ya Eintracht Frankfurt itakuwa mwenyeji wa FC Cologne katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga, utakaopigwa Ijumaa, Oktoba 16, 2026, kuanzia saa 21:30 usiku, katika Uwanja wa Deutsche Bank Park. Frankfurt itaingia kwenye mchezo huo ikihitaji ushindi ili kurejesha hali nzuri baada ya kipigo kizito katika mchezo uliopita. Frankfurt inakutana na Cologne ikiwa…

Read More

Mechi zote za Simba SC CAF kupigwa Uwanja wa Uhuru

UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa mechi zote mbili CAF Champions League dhidi ya de Agosto zitachezwa Dar, Uwanja wa Uhuru. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema maandalizi yanaendelea kuelekea mechi zijazo za kimataifa na wapo tayari kusaka matokeo chanya. “Kuelekea mechi zetu za Ligi ya Mabingwa Afrika 20/10/2026…

Read More