Ligi Zarejea Baada ya Siku 21, Liverpool, City na Roma Kwenye Kukiwasha leo
Baada ya kimya kirefu cha takribani siku 21, hatimaye ligi zinarudi kwa kishindo huku timu mbalimbali zikijiandaa kushuka dimbani kusaka pointi tatu za ushindi. Je nani kushinda leo? Leo hii kule Uingereza kutakuwa na mechi kubwa ambayo itavuta hisia za mashabiki wengi wa soka Duniani ambapo katika dimba la Anfield Liverpool atakuwa nyumbani kumenyana dhidi…