Ratiba ya mechi za leo Oktoba 9,2026 NBC Premier League
LEO Oktoba 9, 2026 NBC Premier League inaendelea kwa mechi 4 kupigwa katika viwanja tofautitofauti kwenye msako wa pointi 3 muhimu. Fountain Gate vs JKT Tanzania, saa 8:00 mchana, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mbeya City vs Kagera Sugar, saa 10:15 jioni, Uwanja wa Sokoine Dodoma Jiji FC vs Singida Black Stars, saa 1:00 usiku,…