Ratiba ya mechi za leo Oktoba 9,2026 NBC Premier League

LEO Oktoba 9, 2026 NBC Premier League inaendelea kwa mechi 4 kupigwa katika viwanja tofautitofauti kwenye msako wa pointi 3 muhimu.

Fountain Gate vs JKT Tanzania, saa 8:00 mchana, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Mbeya City vs Kagera Sugar, saa 10:15 jioni, Uwanja wa Sokoine
Dodoma Jiji FC vs Singida Black Stars, saa 1:00 usiku, Uwanja wa Jamhuri

Coastal Union vs Azam FC, saa 3:00 usiku, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Mechi zote zitakuwa Mubashara Azam TV

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4