Taifa Stars Kutupa Karata Yake Ya Kwanza Kuwania Kufuzu Afcon 2027 leo
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani kesho siku ya ijumaa majira ya saa 10 kamili jioni katika uwanja wa New Amaan Complex uliopo Zanzibar,kupambana na Geinea Bissau. Mchezo huo utakaopigwa huko Zanzibar ni mchezo wa Kwanza Kwa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na unaangaliwa kama mojawapo ya njia ya…