Simba SC yasisitiza mshikamano kila wakati
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuendelea kuwa na umoja nyakati zote ili kufikia malengo. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kila shabiki anapaswa kutambua maendeleo yanajengwa kwa mshikamano nyakati zote. Simba SC inapambania taji la ligi ambalo lipo mikononi mwa Yanga SC inayoongoza…