MOTO wa NBC Premier League unaendelea kwa msimu wa 2026/27 wenye ushindani mkubwa huku kila timu zikipambana kusaka ushindi.
Kwenye mechi 8 zilizopigwa jumla yamefungwa mabao 18 huku mchezo uliokusanya mabao mengi ni ule uliowakutanisha Pamba Jiji FC 1-3 TRA United yalipokusanywa jumla ya mabao 4.
Mchezo mmoja pekee wababe wawili waligawana pointi mojamoja kwa sare ya kufungana 1-1 ilikuwa Fountain Gate vs Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Kaitaba.
Ni Yanga SC wanaongoza ligi wakiwa na pointi 18 wanafuatiwa na Simba SC wote wapo sawa kwenye pointi tofauti kwenye mabao ya kufunga na kufungwa.
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.
Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.