David Molinga ‘Falcao’ Aanza na Sura Mpya, Ateuliwa Kuiongoza AC Bandal

Aliyekuwa mshambuliaji wa Young Africans SC, David Molinga maarufu kama ‘Falcao’, ameanza ukurasa mpya katika maisha yake ya soka baada ya kuteuliwa rasmi kuwa Rais wa Klabu ya AC Bandal kwa kipindi cha miaka mitano. AC Bandal, yenye makao yake katika wilaya ya Bandalungwa jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni klabu inayoshiriki…

Read More

Usiku wa Historia Wafika, Meridianbet Yaongeza Msisimko wa UFC Fight Night Belgrade

Kila tukio kubwa la michezo lina hadithi yake, lakini UFC Fight Night Belgrade linaandika historia ambayo haijawahi kushuhudiwa. Kwa mara ya kwanza kabisa, mashindano ya UFC yatafanyika nchini Serbia, huku Meridianbet ikiwa mdhamini rasmi wa tukio hilo linalosubiriwa kwa hamu kubwa usiku kesho. Huu ni usiku ambao mashabiki wa mapigano na wabashiri duniani wamekuwa wakiusubiri…

Read More