Yamal na Messi Wabeba Matumaini ya Timu Zao Katika Fainali ya Dunia
Leo Jumapili Julai 19, 2926 saa nne usiku ni Fainali ya Argentina na Spain itakuwa mtihani mkubwa wa mifumo miwili tofauti ya kimbinu inayofanya vizuri zaidi duniani kwa sasa. Argentina, chini ya uongozi wa kocha wao, wanatumia mfumo unaotegemea ulinzi imara na mashambulizi ya haraka (counter-attack). Wakisubiri makosa ya mpinzani kisha kutumia kasi ya Julián…