Moto wa Kombe la Dunia Waendelea, Vigogo Watatu Kushuka Dimbani
Mabingwa kuanza kutafuta ushindi wao wa kwanza kwenye michuano hii Mikubwa Dunia. Meridianbet inakwambia kuwa tayari timu za ushindi zinakungoja wewe. Ingia na ubeti sasa. Kivumbi kutimka kwenye mechi ya Ujerumani dhidi ya Curaçao huku wajerumani wakitaka kuanza kampeni yao kwa nguvu na kuonyesha ubora wao dhidi ya timu inayoshiriki mashindano haya ikiwa na ari…