Kombe la Dunia 2026: Canada vs Bosnia, Kasi vs Nguvu, Nani Ataanza Kwa Ushindi?
Kama kawaida michuano hii mikubwa inatarajiwa kuendelea huku leo hii wababe wanne kushuka dimbani kusaka pointi 3 muhimu. Je nafasi ya kushinda unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa. Kivumbi kitakuwa kwenye mechi ya Canada dhidi ya Bosnia and Herzegovina ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na ushindi ndani ya Meridianbet kwani wenyeji wana kikosi chenye wachezaji…