Skip to content
Tuesday, June 2, 2026
  • Canada, Uzbekistan Mtihani Mgumu Kabla Ya Kombe la Dunia 2026
  • Tanzania Kukipiga na Senegal Fainali AFCON U-17 Rabat, Morocco Leo
  • Pirates Power Yatikisa Meridianbet kwa Bonasi na Ushindi wa Kusisimua
  • Mashujaa FC warejea kambini kwa mchezo ujao dhidi ya Yanga SC

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Canada, Uzbekistan Mtihani Mgumu Kabla Ya Kombe la Dunia 2026
  • Tanzania Kukipiga na Senegal Fainali AFCON U-17 Rabat, Morocco Leo
  • Pirates Power Yatikisa Meridianbet kwa Bonasi na Ushindi wa Kusisimua
  • Mashujaa FC warejea kambini kwa mchezo ujao dhidi ya Yanga SC

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • June
  • 2

June 2, 2026

  • International
  • Sports

Canada, Uzbekistan Mtihani Mgumu Kabla Ya Kombe la Dunia 2026

Saleh2 hours ago02 mins

Timu ya Taifa ya Canada itamenyana na Uzbekistan leo Juni 2 saa 04:00 alfajiri katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Commonwealth mjini Edmonton. Mchezo huu ni sehemu muhimu ya maandalizi ya mataifa hayo kuelekea Kombe la Dunia 2026, huku Canada ikiwa mwenyeji wa mashindano hayo pamoja na Marekani na Mexico. Canada…

Read More
  • International
  • Sports

Tanzania Kukipiga na Senegal Fainali AFCON U-17 Rabat, Morocco Leo

Saleh2 hours ago02 mins

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, itashuka dimbani leo Jumanne Juni 2, 2026 usiku kumenyana na Senegal katika fainali ya michuano ya TotalEnergies CAF U-17 AFCON Morocco 2026 itakayochezwa mjini Rabat, Morocco. Mchezo huo wa fainali unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Moulay El Hassan kuanzia saa 4:00 usiku…

Read More
  • Entertainment

Pirates Power Yatikisa Meridianbet kwa Bonasi na Ushindi wa Kusisimua

Saleh10 hours ago1 hour ago01 mins

Mawimbi ya bahari yamebeba habari njema kwa mashabiki wa sloti. Pirates Power kutoka Meridianbet imewasili ikiwa na burudani ya kiwango cha juu na nafasi za ushindi zinazoweza kukufanya uwe gumzo mtaani. Ndani ya mchezo huu, kila mzunguko umejaa mshangao. Ukiwa na nafasi ya kushinda hadi x5000 ya dau lako, kila mzunguko unaweza kuleta matokeo makubwa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.