Je ni Arteta au Enrique Kuondoka na Taji la Ligi ya Mabingwa Leo?
Jumamosi hii kitawaka kule Hungary kwenye fainali ya kumpata bingwa wa Ulaya huku vijana wa Mikel Arteta Arsenal wakiwa na hamu ya kupata taji lao la kwanza wakati PSG wao wakitaka kuteta taji lao. Nani kuibuka bingwa? PSG dhidi ya Arsenal si mechi ya kawaida ya mwisho wa msimu. Hii ni vita ya historia, presha,…