Kagoma, Kibabage kuikosa Kariakoo Dabi?
NYOTA wa Simba SC Nikson Kibabage, Anicent Oura na Yusuph Kagoma uwezekano wa kuikosa Kariakoo Dabi kesho ni mdogo kulingana na maendeleao yao kuzidi kuwa imara. Awali wachezaji hao walileta mshtuko kutokana na maumivu ambayo walipata kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Muungano Cup 2026 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa New Amaan Complex. Ahmed Ally,…