Simba SC: Mpanzu bado ana mkataba
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa mchezaji Ellie Mpanzu bado ana mkataba na Simba SC ambao hajaanza kuutumikia na ule wa awali haujaisha hivyo hawezi kugoma kwa kudai stahiki zake. Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Mpanzu amegoma kucheza Simba SC mpaka alipwe stahiki zake za mkataba mpya wa miaka miwili aliyoongeza hivi karibuni. Hakuwa kwenye kikosi…