Simba SC 1-0 Mafunzo SC
Simba SC 1-0 Mafunzo FC ni matokeo rasmi mchezo wa hatua ya robo fainali Muungano Cup 2026. Goli la Simba SC limefungwa na Seleman Mwalimu dakika ya 54. Mchezaji huyo alianzia benchi amekuwa ni super sub. Katika dakika 45 za mwanzo wababe hawa wawili walishuhudia ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ukisoma Simba SC…