Namungo FC vs Simba SC NBC Premier League

Namungo FC vs Simba SC NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa, Aprili 19, 2026. Tayari kikosi cha Simba SC kimewasili Dar kikitokea Arusha ambapo huko kimetoka kuvuna pointi 3 mbele ya Fountain Gate kwa ushindi wa magoli 3-0. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari…

Read More

Meridianbet Yawasha Tena Taa Ya Matumaini Kijitonyama Kisiwani

Meridianbet imeendeleza dhamira yake ya kurejesha kwa jamii kupitia ziara maalum katika eneo la Kijitonyama Kisiwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kusaidia makundi yenye uhitaji mkubwa. Safari hii ililenga zaidi kuwafikia wajane na familia zinazokabiliwa na changamoto za maisha ya kila siku. Katika tukio hilo, kampuni ilitoa msaada wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula…

Read More