Djigui Diarra kamili kuwakabili Mbeya City
MLINDA mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra ni ruksa kuwakabili Mbeya City kwenye mchezo ujao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 16, 2026 Uwanja wa KMC Complex. Kipa huyo alifungiwa mechi 3 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) kutokana na kosa la utovu wa nidhamu alilofanya mchezo wa ligi, Mtibwa Sugar 1-1…