Jonathan Sowah hatihati kuondoka Simba SC

MSHAMBULIAJI namba moja wa Simba SC, Jonathan Sowah kuna hatihati kuondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na tatizo la nidhamu. Sowah ndani ya NBC Premier League amefunga magoli matatu akiwa ni miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Sowah hayupo kwenye mipango ya timu hiyo kutokana na kile kilichoelezwa alisimamishwa…

Read More

Soko la Michezo ya Kubahatisha La Stake Lapata Nguvu Kutoka Expanse Studios

Sekta ya michezo ya kubahatisha duniani imepata habari njema baada ya Expanse Studios kutangaza rasmi ushirikiano mpya na jukwaa kubwa la ubashiri la kimataifa, Stake. Hatua hii inakuja baada ya mafanikio makubwa ya kampuni hiyo katika kushirikiana na wadau mbalimbali wa tasnia, akiwemo Meridianbet. Ushirikiano huu unatarajiwa kuleta msisimko mpya kwa wachezaji huku ukipanua upatikanaji…

Read More

TVBET ya Meridianbet Kukupa Burudani ya Kasino Yenye Matokeo Ya Papo Hapo

Wapenzi wa michezo ya kasino wamekua wakitafuta burudani inayoweza kuwapa matokeo haraka bila kusubiri kwa muda mrefu. Meridianbet imejibu hitaji hilo kwa kuleta TVBET, mfumo wa michezo mubashara unaowapa wachezaji nafasi ya kucheza raundi nyingi ndani ya muda mfupi na kufurahia matokeo yanayotokea papo hapo. Kupitia TVBET, wachezaji wanaweza kushiriki michezo maarufu na yenye msisimko…

Read More