United Wafunga Mlango kwa Rashford, Barcelona Yapewa Kipaumbele cha Kumsajili
Manchester United wanaonekana kuendelea na mipango yao ya muda mrefu bila kumjumuisha Marcus Rashford, huku hatma ya mshambuliaji huyo ikizidi kuelekea kwenye uuzaji wa kudumu badala ya kurejea Old Trafford. Rashford kwa sasa anaitumikia Barcelona kwa mkopo wa msimu mzima, ambapo klabu hiyo ya La Liga ina kipengele cha kumnunua moja kwa moja kwa pauni…