Azam FC vs Simba SC NMB Mapinduzi Cup

Azam FC vs Simba SC NMB Mapinduzi Cup mchezo mkali unatarajiwa kuchezwa kesho Januari 8,2026 Uwanja wa New Amaan Complex. Wababe hawa kutoka bara kila mmoja anaingia uwanjani akitoka kupata ushindi kwa bao la jioni mbele ya mpinzani hatua ya makundi. Simba SC ilipambana mbele ya Fufuni FC dakika ya 90 bao la ushindi lilifungwa…

Read More

Shirikisho la soka la Nigeria Lakanusha taarifa za Osimhen na Adams kuondoka kambini

Shirikisho la soka la Nigeria limekanusha ripoti zinazodai kuwa Wachezaji wawili Victor Osimhen na Akor Adams kuwa wameondoka kwenye kambi ya Super Eagles nchini Morocco katika Mashindano ya AFCON. Shirikisho pia limetupilia mbali madai ya kuwepo kwa mpasuko kati ya Osimhen na Ademola Lookman. Limeeleza kuwa masuala yaliyotokana na mabishano ya Uwanjani wakati wa mechi…

Read More