Yanga na Simba Waendeleza Ubabe Ligi Kuu Waibuka na Ushindi
Vigogo wa soka Tanzania, Simba na Yanga usiku wa kuamkia leo Februari 23, 2026 wameendeleza ushindani mkali wa kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi muhimu katika michezo yao ya jana. Katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Simba walionyesha ubora wao kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya…