Azam FC hawataki utani wapya watano wanahitajika
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani msimu wa 2025/26 ambapo inatajwa kuwa katika dirisha dogo maboresho makubwa yatafanyika kwenye timu hiyo. Mchezo uliopita Azam FC ilikuwa ugenini kwenye ligi na ubao ulisoma Namungo FC 1-1 Azam FC. Timu hiyo pia imetinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika hivyo ina kazi kubwa katika mechi…