JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League
JKT Tanzania 1-2 Simba SC ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Meja Jeneral Isamuyo Novemba 8,2025. Katika mchezo huo wenyeji JKT Tanzania walitangulia kupata bao la kuongoza kipindi cha pili kwa kuwa dakika 45 za mwanzo hakuna timu ambayo iliona lango la mpinzani. Ni Edward Songo dakika ya 60…