TABORA UNITED WATUMA UJUMBE HUU AZAM FC
KOCHA Mkuu wa Tabora United, Goran Kopunovic amebainisha kwamba mchezo wao dhidi ya Azam FC hautakuwa mwepesi kutokana na wapinzani wao kuwa imara kwenye kusaka matokeo. Ipo wazi kuwa Azam FC ipo nafasi ya tatu mchezo wao uliopita wa kufunga mzunguko wa kwanza walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold mchezo uliochezwa Uwanja…