AZAM FC WANAJIPANGA UPYA HUKO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanajipanga upya kurejea kwenye ushindani baada ya kukosa matokeo kwenye mechi za hivi karibuni ndani ya Ligi Kuu Bara. Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao dhidi ya Tabora United pamoja na mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons lakini ilishindikana kutokana na ushindani kuwa…

Read More

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA ZIPO HIVI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi haijaisha kwenye mechi za kimataifa hivyo wataendelea kufanya maandalizi kuwa imara kwa mechi zinazofuata. Yanga ni timu ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania kutinga hatua ya robo fainali ikiwa na mchezo mmoja mkononi huku watani zao wa jadi Simba wakiwa na kibarua Machi 2 kutambua hatma…

Read More

SIMBA YATANGAZA VIINGILIO MECHI YA JUMAMOSI DHIDI YA JWANENG KWA MKAPA

“Tarehe 2 ya mwezi wa tatu tunakwenda kushinda tena ushindi wa kihistoria na kwenda robo fainali. Jwaneng tunamheshimu lakini amekuja wakati mbaya.” “Tiketi zimeshaanza kuuzwa na niwakumbushe Wanasimba rekodi zote ambazo tuliziweka, ziliwekwa na Wanasimba wenyewe. Wakati tunamfunga AS Vita mara 2, wakati tunamfunga Horoya mabao 7 ushindi wote ulitokana na mashabiki wa Simba. Ili…

Read More

SIMBA AKILI ZOTE KWA JWANENG

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema mpango mkubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundiilishuhudia ubao ukisoma ASEC Mimosas 0-0 Simba. Ndani ya msako wa pointi tatu wababe hao wote wawili waligawana pointi mojamoja…

Read More

YANGA YAKOMBA MILIONI 20 KISA WAARABU

YANGA wameandika rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wapinzani wao CR Belouizdad mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ushindi huo umewapa fursa Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali kwa Tanzania huku Simba ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi…

Read More

YANGA YATINGA ROBO FAINALI KIBABE

Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria kwenye hatua ya makundi. FT: Young Africans ?? 4-0 ?? CR Belouizdad ⚽️ Mudathir Yahya 43’ ⚽️ Aziz Ki 46’ ⚽️ Kennedy Musonda 48’ ⚽ Joseph Guede…

Read More