>

YANGA KUCHEZA KWA KUWASHAMBULIA WAARABU

MPANGO kazi kwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakuwa ni kucheza kwa kushambulia kwa kuwa ni sanaa inayopendwa na benchi la ufundi. Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa anapenda kuona timu ikicheza na sio kujilinda muda mrefu jambo ambalo limekuwa likiwapa matokeo chanya. Yanga ina kibarua…

Read More

AZAM FC KASI YAO INAZIDI

MIAMBA Azam FC wamezidi kujiongezea ngome nafasi ya pili baada ya kukomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba ubao ulisoma Singida Fountain Gate 0-1 Azam FC bao lilifungwa na Kipre Junior dakika ya 53. Azam FC inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 18 vinara ni…

Read More

YANGA KUMALIZA VINARA WA KUNDI KIMATAIFA

ANAANDIKA Jembe Yanga wana nafasi kubwa ya kuongoza kundi kama watakuwa makini na kuamua kukusanya pointi Cairo. Ahly si Belouizdad na Ahly si wepesi hasa wakiwa Cairo lakini Yanga kwenda Cairo wakiwa wamefuzu inaweza ikawa. FAIDA…Wakijipanga na kuichukulia mechi kwa umakini zaidi HASARA…Kama wataichukulia kwa wepesi sababu walishinda kabla Vs Belouizdad Kushinda nafasi ya kwanza…

Read More

SIMBA YAPETA MBELE YA WAKUSANYA MAPATO

WAKIWA kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy, Simba imepeta mbele ya wakusanya mapato kutoka Kilimanjaro. Kwenye mchezo wa raundi ya tatu iliambulia ushindi wa mabao 6-0 TRA Kilimanjaro katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ni Ladack Chasambi alifungua kurasa za…

Read More

SALEH JEMBE: ‘NI KOSA KUMLINGANISHA CHAMA NA PACOME – KWELI MO DEWJI ASHUKURIWE YANGA KUFUZU

Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Ally amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango alichonacho Clatous Chama mchezaji wa Simba hakilinganishwi na cha Pacome mchezaji wa Yanga. Saleh ameendelea kuwaambia waandishi hao kuwa Chama ameipeleka Simba robo fainali mara kadhaa na amefanya makubwa sana kwa upande wa soka la…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI DR WA MPIRA

 KLABU ya Soka ya Azam, imetangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke. Dkt. Mwankemwa alianza majukumu yake Azam FC, mwaka 2008 na katika kipindi chote cha utendaji wake, amehusika kuwasindikiza wachezaji katika matibabu ya ndani na nje ya nchi. Mwankemwa aliingia katika udaktari…

Read More

YANGA KUWAFUATA WAARABU WA MISRI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Ahly ya Msiri unaotarajiwa kuchezwa Machi Mosi 2024 huku wakiwa kamili gado kuwafuata wapinzani wao kwenye mchezo huo. Ali Kamwe ambaye alipata changamoto ya kiafya muda mfupi baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

Read More