>

YANGA HAINA HOFU NA MAMELODI KWAO AMANI TU

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba hauna tatizo na wapinzani wao kwenye anga la kimataifa Mamelodi Sundowns kwa kuwa vita yao ni ndani ya dakika 90 uwanjani. Yanga wameweka wazi kuwakama kuna mashabiki wao ambao wapo Tanzania wajitokeze kwa wingi uwanjani kikubwa ni kuona wanapata burudani kwenye mchezo huo wa kimataifa unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….

Read More

AZAM FC YAREJEA CHIMBO

KIKOSI cha Azam FC kinachofundishwa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kimerejea chimbo kwa maandalizi ya mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Azam FC inaingia kwenye rekodi ya timu mbili ambazo zimepata ushindi mbele ya Yanga inayofundishwa na Miguel Gamondi katika mechi za ligi. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wamekuwa kwenye mwendo bora…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU NDEFU KWA AL AHLY KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zote mbili za kimataifa hatua ya robo fainali kwa kuanza na kazi Uwanja wa Mkapa dhidi ya Al Ahly ya Misri. Ipo wazi kwamba Al Ahly watakuwa wapinzani wa Simba kwenye hatua ya robo fainali wakipata ushindi dhidi yao watatinga nusu fainali kwenye…

Read More

HII HAPA SIRI YA MWAMBA AZIZ KI

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI raia wa Burkina Faso ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa kutoka kwenye benchi la ufundi pamoja na wachezaji ni nguzo kubwa kupata mafanikio katika mechi wanazocheza. Ipo wazi kwamba Aziz KI ni kinara wa utupiaji ndani ya Yanga akiwa na mabao 13 idadi hiyo ni sawa na kiungo wa Azam…

Read More

KIMATAIFA YANGA NI MUDATHIR YAHYA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns itakuwa ni siku ya simu kuita kwa kuwa mchezo utakuwa kwenye miguu ya Mudathir Yahya. Yahya chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi amekuwa kwenye mwendelezo bora katika mechi za Ligi Kuu Bara ambapo mtindo wake wakushangilia pale…

Read More

YANGA HAWANA HOFU KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns hawana hofu kwa kuwa wanaamini kwenye ubora walionao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa tatu usiku kwa kila timu kupambana kupata ushindi kuongeza nguvu kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo…

Read More