>

SIMBA HAIJAPOTEZA MATUMAINI

UONGOZI wa Simba licha ya Machi 29 2024 mambo kuwa magumu kwao kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-1 Al Ahlyumebainisha kuwa matumaini bado yapo kufanikisha malengo yao. Ipo wazi kwamba malengo ya Simba kwenye anga la kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali jambo ambalo wanalipambania kwa sasa. Katika mchezo huo…

Read More

YANGA: WANAOFIKIRI MWISHO WETU UMEFIKA HAWATAAMINI

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wale wengi wanaofikiria safari ya Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika itagotea hatua ya robo fainali hawataamini macho yao kwa kuwa wanaamini watafanya vizuri. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Machi 30 inatarajiwa kutupa kete ya kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya…

Read More

MERIDIANBET YAGAWA REFLECTORS KWA BODABODA

Hii inaweza kusema wamefikiwa sasa kwani baada ya mabingwa michezo ya kubashiri Meridianbet kupita maeneo mbalimbali ya jijini Dar-es-salaam lakini hawakua wamefika katika eneo la Magomeni na kutoa msaada. Meridianbet wamelifikia eneo la Magomeni na kufanikiwa kugawa Reflectors kwa Bodaboda wa eneo hilo kama ilivyo utaratibu wa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao…

Read More

MITAMBO YA KAZI YANGA IPO KAMILI KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…

Read More

AZIZ KI WA YANGA ANA BALAA HUYO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wenzanke ndani ya uwanja katika kusaka ushindi. Ni namba moja kwa utupiaji ndani ya ligi katika kikosi cha Yanga akiwa na mabao 13.

Read More

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: SIMBA 0-1 AL AHLY

KUPOTEZA kwa Simba kwenye robo fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa kunaongeza ugumu kwa timu hiyo kutinga hatua ya nusu fainali. Wachezaji wa Simba watajilaumu wenyewe kuwa kwenye mwendelezo wa kukwama kutumia nafasi ambazo walizitengeneza ndani ya dakika 90. Haijaisha mpaka iishe kazi itakuwa kwa Yanga Machi 30 kufunga mchezo wa hatua ya robo fainali…

Read More

SIMBA WANA KAZI KUMALIZA KWA MKAPA, UGENINI BALAA

IKIWA Simba itakosa ushindi mbele ya Al Ahly angalau mabào manne Uwanja wa Mkapa inakwenda kuwa ngumu kwa sababu Al Ahly wakiwa Uwanja wa taifa wa Cairo wanashambulia kama nyuki. Katika mchezo wa African Football League uliochezwa Misri Oktoba 24 2023 ubao ukasoma Al Ahly 1-1 Simba walicheza mpira wa kasi mwanzo mwisho. Ni mashuti…

Read More

GAMONDI MASTA NA HESABU KIMATAIFA HAPA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mpango mkubwa kwenye mechi za kimataifa ni kupata ushindi wapo tayari kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya kwenye uwanja wa mazoezi. Machi 30 Yanga inatarajiwa kukabiliana na Mamelodi Sundowns mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wao uliopita kwenye ligi Yanga…

Read More

KOCHA WA SIMBA AMEFICHUA MPANGO KAZI MZIMA

KOCHA Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha ameweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ni kupata ushindi wakiwa nyumbani. Simba ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 29 2024 na Machi 27 walifanya maandalizi ya mwisho…

Read More

MASHABIKI WA SIMBA WAPATA AJALI CHALINZE, PWANI

Basi dogo aina ya Costa lililobeba mashabiki wa Klabu ya Simba limepata ajali mapema alfajiri ya leo eneo la Vigwaza kata ya Wilaya ya Chalinze katika Mkoa wa Pwani. Taarifa za awali zinasema mashabiki hao walikuwa wakitokea Tunduma kuja Dar es Salaam ambapo leo klabu hiyo ina mchezo wa robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika…

Read More