>

SHIRIKISHO LA SOKA LA ALGERIA LINAPANGA KUJIONDOA CAF

Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika. Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha…

Read More

YANGA BINGWA MARA 30 LIGI KUU BARA

YANGA chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2023/24 baada ta kufikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote Bongo. Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibw Sugar umewapa taji hilo la 30 wakitwaa mara tatu mfululizo wakiwa ni watawala katika zama za sasa. Licha ya Mtibwa Sugar kuanza kupata…

Read More

MERIDIANBET TOBOA KIBINGWA UKIWEKA PESA NA AIRTEL MONEY

Mabingwa hawasauliki ndani ya meridianbet hasa ukiwa na Airtel Money, kwa kuthamini wateja wetu wa airtel tumewaletea promosheni itakayowapa nafasi ya kutoboa kibingwa kwenye kila muamala watakofanya kupitia airtel Money. Meridianbet tunasema ukitaka tobo basi bashiri nasi utoboe kibingwa. Ni siku tisini za kutoboa kibingwa na meridianbet hasa ukitumia airtel money, kuanzia leo hii ya…

Read More

SHINDANO LA EXPANSE KASINO USHINDI HADI MIL 400/= TZS

Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…

Read More

MTIBWA SUGAR KUIKABILI YANGA

MTIBWA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu,Zuber Katwila ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ikiwa itapata ushindi kwenye mchezo wa leo itafikisha pointi 71 ikizidi kuwa namba moja na kufikia pointi zitakazowapa ubingwa. Itakuwa ni ubingwa wa 30 kwa Yanga ndani…

Read More

SIMBA YATAJA KILICHOWAPONZA KAITABA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa walikuwa na nafasi kubwa ya kupata matokeo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar nafasi hawakuzitumia. Ubao wa Uwanja wa Kaitaba umesoma Kagera Sugar 1-1 Simba baada ya dakika 90 ambapo Simba walianza kufunga kwenye mchezo wa leo. Ladack Chasambi alifungua akaunti ya…

Read More

SHINSA TSH MIL 400/= CHEZA EXPANSE KASINO NA MERIDIANBET

Shindano la Expanse ndani ya  Meridianbet Kasino linaelekea kupata washindi, cheza michezo ya Expanse kujiweka  kwenye nafasi ya kushinda bonasi za kasino, mizunguko ya bure na kitita cha TZS 400,000,000 Jisajili Meridianbet kushiriki Promosheni hii. Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa…

Read More