NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024, YAPO HAPA

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Said Mohamed aliyekuwa akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam amesema ufaulu wa jumla umeongezeka kutoka asilimia 80.58 iliyorekodiwa mwaka 2023 hadi asilimia 80.87 mwaka huu. “Watahiniwa 974,229 wamefaulu kwa kupata madaraja ya A, B na C, Aidha takwimu zinaonesha kuwa ufaulu katika masomo yote sita…

Read More

RUSHWA YA NGONO SABABU YA KUDUMAZA VIPAJI KWA WANAWAKE

SOKA la Wanawake linazidi kukua kila iitwapo leo kutokana na wachezaji kupata fursa ya kucheza kitaifa na kimataifa. Yote haya yanatokana na jitihada ambazo zinafanyika kila siku kwenye kupunguza changamoto huku rushwa ya ngono ikitajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazodumaza vipaji hivyo ni muhimu kwa wahusika kutoipa nafasi kuokoa vipaji vingi. Suala la ukatili kwa…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA NA MATOKEO

BAADA ya Coastal Union ya Tanga kushuhudia ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ukisoma Coastal Union 0-1 Yanga, Oktoba 26 2024 kuna kibarua kingine kinafuata leo. Oktoba 29 Coastal Union itawakaribisha Kagera Sugar mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15 jioni. Ken Gold mapema saa 8:00 mchana watakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Dodoma…

Read More

SABABU MECHI YA SIMBA V JKT KUTOCHEZWA

OFISA Habari wa Bodi ya Ligi Tanzania, Karimu Boimanda amebainisha kuwa wamepokea taarifa kutoka uongozi wa JKT Tanzania kuhusu kupata ajali na maombi ya mechi kuahirishwa ambapo mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba uliotarajiwa kuchezwa Oktoba 29 2024 umeahirishwa. Boimanda amesema: “Mara nyingi huwa ninakuwepo hapa pamoja na wachezaji, manahodha kwenye eneo hili, imekuwa…

Read More

KOCHA MANCHESTER UNITED MAMBO MAGUMU

BAADA ya kupoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa London ukisoma West Ham 2-1 Manchester United, Gary Neville ameweka wazi kuwa anafikiria Eric ten Hag atafukuzwa ndani ya timu hiyo. Manchester Legend, Gary Neville amesema kuwa anaamini bosi wa Manchester United, Eric ten Hag ataondolewa katika majukumu yake ndani ya Manchester United, inayotumia Uwanja wa…

Read More

BEKI WA SIMBA ANAFIKIRIA KUFUNGA ZAIDI

BEKI wa Simba, Che Malone ana hasira na nyavu kutokana na kupania kuendelea kufunga pale anapopata nafasi ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba beki huyo anashikilia rekodi ya kuwa nyota wa kwanza kufunga ndani ya ligi kwa upande wa Simba ilikuwa Uwanja wa KMC Complex baada ya dakika…

Read More

NAFASI KUBWA YA KUSHINDA UNAYO LEO

Chelsea, PSG, Bayern, Inter na wengine kibao wapo dimbani leo kuhakikisha unaondoka na mkwanja wa maana. Usisubiri upitwe na bahati hii ya leo. Tengeneza jamvi lako hapa. Ligi kuu ya Ufaransa yaani LIGUE 1 leo hii Lyon atakipiga dhidi ya AJ Auxerre ambao walishinda mechi yao iliyopita. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa…

Read More

40 LUCKY SEVENS BABA LAO

Tukisema mchezo wa Kasino wa 40 Lucky Sevens ndio Baba lao tunamaanisha kwakua mchezo huu kwa kipindi kifupi umezalisha washindi mbalimbali, Huku wakiwa wameshinda vitita vizito hii ikionesha ukubwa wa mchezo huu na namna umewavutia watu cheza leo uibuke na mkwanja. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa…

Read More

EL CLASICO NA MECHI ZINGINE KUKUTAJIRISHA LEO

Je unataka utajiri leo?. Chimbo ni moja tuu napo ni Meridianbet ambapo hapa ndio sehemu sahihi ya wewe kupiga pesa za maana kwa dau lako dogo tuu unatimiza ndoto zako. Leo hii ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 kuna mechi za maokoto Angers kukipiga dhidi ya AS Saint- Etienne ambao walipigika mchezo wao uliopita wakati…

Read More

YANGA KAZINI LEO UGENINI MBELE YA COASTAL UNION

YANGA kwenye kibarua kizito leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Ipo wazi kwamba Yanga baada ya kucheza mechi 6 mfululizo haijapoteza wala kufungwa na ilicheza Kariakoo Dabi Oktoba 19 ubao wa Uwanja wa Mkapa ukasoma Simba 0-1 Yanga na mchezo uliopita ilikuwa Uwanja wa…

Read More

VITA YA SIMBA NA NAMUNGO BADO HAIJAISHA

ILIKUWA ni vita yenye mwendelezo wa msako wa pointi tatu ndani ya uwanja ambapo kila timu ilipambana kuonyesha ubora wake dakika 90 mwanzo mwisho licha ya ushindi bado haijaisha kwa kuwa kuna mzunguko wa pili unakuja. Simba imekuwa na kawaida ya kutumia dakika 15 za kipindi cha kwanza kupambana kusaka bao la mapema kisha dakika…

Read More