UWANJA WA KAITABA:KAGERA SUGAR 0-0 YANGA
FUNGUA kazi ndani ya Februari katika Ligi Kuu Bara ni Uwanja wa Kaitaba kwa wababe wawili kusaka pointi tatu. Dakika 45 ubao unasoma Kagera Sugar 0-0 Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Katika dakika za 45 za mwanzo kila timu imekuwa ikicheza kwa tahadhari na kushambulia kwa kushtukiza kutafuta ushindi.