PIGA MAOKOTO NA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Uefa Champions League itaendelea leo Jumatano na viwanja mbalimbali barani ulaya vitawaka moto kutoka na michezo mikali itakayopigwa, Huku wewe ukiwa na nafasi ya kunyakua kitita cha kutosha. Michezo ambayo itapigwa leo kwenye ligi ya mabingwa ulaya ni michezo mikali ambayo itakutanisha miamba ya soka barani ulaya ambayo inakwenda kucheza michezo yao ya raundi ya…

Read More

MWENDA NI KIJANI NA NJANO

ISRAEL Mwenda beki wa kupanda na kushuka sasa ni kijani na njano baada ya kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic. Nyota huyo alitambulishwa na Singida Black Stars msimu wa 2024/25 ambapo inatajwa kuwa dau lake ilikuwa ni milioni 15o lilimvuta akasaini mkataba ndani ya timu hiyo inayotumia Uwanja…

Read More

SIMBA: KUPOTEZA KIMATAIFA KUSITUTOE KWENYE RELI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kupoteza mchezo wao uliopita kimataifa dhidi ya Constantine kusiwatoe kwenye reli kwa kuwa malengo ni kupata ushindi katika mechi zijazo na hesabu kubwa ni kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ipo wazi kwamba wakiwa ugenini Simba walipata bao la kuongoza…

Read More

YANGA YAIVUTIA KASI TP MAZEMBE

Meneja wa Yanga, Walter Harson amesema kuwa walianza maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya TP Mazembe wakiwa Uarabuni, Algeria hivyo kwa sasa ni mwendelezo kuwa imara ili kupata matokeo kwenye mchezo ujao wa hatua ya makundi. Katika mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ilikwama kusepa na pointi tatu zaidi ya kugotea kuzipoteza hivyo…

Read More

YANGA HAWAKUTARAJIA, KURUDI TENA UGENINI KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa matokeo ambayo wameyapata ugenini kimataifa walikuwa hawajatarajia hivyo watafanyia kazi makosa kuwa bora kwa mechi zijazo kitaifa na kimataifa. Yanga haijaanza kwa mwendo mzuri kimataifa hatua ya makundi kwenye mechi mbili mfululizo ikipoteza pointi sita msimu wa 2024/25 kituo kinachofuata itakuwa ugenini dhidi ya TP Mazembe. Ikumbukwe…

Read More

SIMBA: MATOKEO MABAYA, HASIRA KUHAMIA HUKU

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa matokeo waliyopata dhidi ya CS Constantine ni mabaya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuwa walifanya makosa ndani ya dakika tano ambayo yaliwagharimu. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 8 2024 Simba walitangulia kufunga dakika ya 24 kupitia kwa Zimbwe na walifungwa mabao…

Read More

YANGA YAANZA SAFARI KURUDI BONGO, WATUMA SALAMU KWA WAZIRI

WAWAKILISHI wa kimataifa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukamilisha kazi ugenini kwa kupoteza kwenye mchezo uliochezwa Desemba 7 2024 Uwanja wa 5 July uliposoma MC Alger 2-0 Yanga wameanza safari ya kurejea Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata. Kwenye mchezo huo mabao yote yalifungwa kipindi cha pili  na Ayoub Abdellaoui…

Read More

SIMBA KAZINI KIMATAIFA LEO

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa hatua ya makundi wanatarajiwa kuwa kazini leo saa 1:00 usiku (kwa saa za Afrika Mashariki) katika mchezo wa mzunguko wa pili Kundi A Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Chahid Hamlaoui nchini Algeria. Timu zote mbili…

Read More

Leo Hii Kuna Mvua ya Magoli Meridianbet

Endapo ukibashiri na Meridianbet siku ya leo nafasi ya wewe kuondoka na ubingwa unayo kabisa. Sasa unawezaje kukosa pesa zako leo?. Ingia www.meridianbet.co.tz na ubeti. SERIE A leo itaendelea Hellas Verona atapepetana dhidi ya Empoli ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku mwenyeji mechi yake iliyopita akipigika vivyo hivyo kwa mgeni wake….

Read More

KIMATAIFA: MC ALGER V YANGA KINAWAKA

FT: Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa 5 July 1962 MC Alger 2-0 Yanga Dakika ya 90 goal la pili mtupiaji Sufian Clatous Chama na Djigui Diarra kadi ya njano dakika ya 90 Dakika ya 89 Maxi Nzengeli anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linaokolewa na kipa Dakika ya 84 Mudathir Yahya ametoka ameingia Prince…

Read More

Kuwa Tajiri na Mechi za Leo

Ni rahisi sana kupuna mpunga wako ukiwa na Meridianbet kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Tukianza na BUNDESLIGA leo hii Bayer Leverkusen  atakipiga dhidi ya ST Pauli ambao wapo nafasi ya 15 kwenye ligi wakishinda mechi 3 pekee hadi sasa. Alonso na vijana wake…

Read More