ATEBA KATUPIA TATU KWA PENALTI BONGO

MSHAMBULIAJI kiongozi kwenye safu ya ushambuliaji Leonel Ateba ni mabao matano amefunga kibindoni msimu wa 2024/25 akiwa amecheza mechi 9 na kukomba dakika 673. Kwenye mechi mbili mfululizo Ateba amekuwa kwenye mwendelezo wa kufunga ndani ya ligi na kutwaa tuzo ya mchezaji bora mara baada ya dakika 90 kukamilika. Ikumbukwe kwamba mchezo dhidi ya Pamba…

Read More

CHAMA, AZIZ OUT YANGA

MASTAA wanne Yanga bado hali zao hazijawa imara kutokana na kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mechi zao za ushindani zilizopita hivyo kuna hatihati wakakosekana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mashujaa, Uwanja wa KMC, Complex. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo wachezaji ambao bado hawajawa imara kwa ajili ya mechi…

Read More

REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MABARA

Klabu ya Real Madrid imetwaa ubingwa wa kombe la Mabara kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Pachuca Fc ya Mexico kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Lusail mjini Lusail, Qatar. Ushindi wa Real Madrid unamfanya kocha Carlo Ancelotti kuweka rekodi ya kuwa kocha mwenye Mataji mengi zaidi katika historia ya klabu hiyo akifikisha jumla ya…

Read More