
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024, YAPO HAPA
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Said Mohamed aliyekuwa akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam amesema ufaulu wa jumla umeongezeka kutoka asilimia 80.58 iliyorekodiwa mwaka 2023 hadi asilimia 80.87 mwaka huu. “Watahiniwa 974,229 wamefaulu kwa kupata madaraja ya A, B na C, Aidha takwimu zinaonesha kuwa ufaulu katika masomo yote sita…